sinyaghile
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 270
- 381
Dakika za lala salama wameachia.... hatari kweli kweliToo bad.
Sio ile full time ya kule Algeria ๐ธ akalamba 3 kwa sufuria
๐คฃ๐คฃ๐คฃSimba ilimchapa Mamelod wapi? Ndio maana napendelea kula kwanza kabla ya kuvuta.
Tupashe moja DLS wewe Kiande nikukande kama namkanda kolo vile.Unasemaa??
Uzembe mtupuUjinga mkubwa tumefanya hapa
Wapumbavu sana..Haya mkalale pumbavu nyie ๐๐๐๐ฎ๐ฎ
Mikia Fc hatimaye wamerudi mkiani [emoji16]
Tumewafuata mkianiMikia Fc hatimaye wamerudi mkiani ๐
Ile faulu ilipopatikana tu nilinyanyuka nkatoka nilihisi tu hapa kunaharibika.Dakika za lala salama wameachia.... hatari kweli kweli