sinyaghile
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 270
- 381
Inaumaaaa mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika za lala salama wameachia.... hatari kweli kweliToo bad.
Sio ile full time ya kule Algeria 🐸 akalamba 3 kwa sufuria
🤣🤣🤣Simba ilimchapa Mamelod wapi? Ndio maana napendelea kula kwanza kabla ya kuvuta.
Tupashe moja DLS wewe Kiande nikukande kama namkanda kolo vile.Unasemaa??
Uzembe mtupuUjinga mkubwa tumefanya hapa
Wapumbavu sana..Haya mkalale pumbavu nyie 😂😂😂🚮🚮
Mikia Fc hatimaye wamerudi mkiani [emoji16]
Tumewafuata mkianiMikia Fc hatimaye wamerudi mkiani 😁
Ile faulu ilipopatikana tu nilinyanyuka nkatoka nilihisi tu hapa kunaharibika.Dakika za lala salama wameachia.... hatari kweli kweli