FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

😹😹😹🤣🤣🤣🤣mule mule maniner
 

Attachments

  • JamiiForums-1764214020.jpeg
    34 KB · Views: 4
Sisi ni mashabiki. Tunavyoona mchezaji ni tofauti kabisa na kocha anavyoona mchezaji. Huwezi sema jamaa hakuwa strika mzuri wakati anapangwa na kuna strikers wengine wengi tu wapo!

Mpaka anapangwa kuna kitu kocha kaona anacho na wengine hawana. Na hicho kitu ndio kinamfanya awe bora.
 
We jamaa nawe! Kwahiyo wewe unajua mpira kuliko Didier Deschamps aliyekuwa akiyaona yote hayo lakini bado akabaki kuwa choice yake ya kwanza? Kwa wanaojua mpira striker si kufunga tu na kugusa mpira.

Hivi lini mtamheshimu Giroud mfungaji bora wa wakati wote wa Ufaransa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…