FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Itarudiwa utaona wamekosaje
emoji4.png

Ngoja irudiwe
Naona mmesahau shida kwa muda kibano kipo pale pale
 
Oya Wana Simba wenzangu, tukubali tukatae...


Simba ya Sasa ni poyoyo!!.


Hivi Ile Simba ilomchapa Mamelod Kwa mkapa, ingekua ndio ya Leo hapa, huyu Mwarabu alivyotepeta, siangeshakula goli mbili za chap?.
Simba ilimchapa Mamelod wapi? Ndio maana napendelea kula kwanza kabla ya kuvuta.
 
Ndio akili yako ilipowaza. Hii timu kabla ya kucheza leo kashinda mechi moja tu ya juzi ya ligi. Ila zote kafungwa, wewe unaleta unazi wako hapa. Hujui kama hao Wydad wamefungwa hadi na Galaxy?
Makasiriko yanini sasa? tuliza ball, naamini kiwango cha mnyama leo kimekusaprise
 
Hawa waarabu wanaupenda sana mpira na pia Wana uchizi mwingi kama sisi.

Ila naona mashabiki wao wametuzidi maturity, hii ni mechi ya waydad dhidi ya timu ya kigeni..... Lakini jukwaani sioni kabisa mashabiki waliovaa jezi za Raja wakiisapoti Simba, kama inavyokuwaga hapa kwetu ambapo Yanga ikicheza na Al Ahly utaona mashabiki kibao wa Simba jukwaani wakiisapoti Ahly mpaka wanajihisi wako nyumbani.
 
Back
Top Bottom