FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

"Wydad wanazitaka sana hizi points, Simba Sc lazima afungwe 3 leo"

"Mnatucheka leo, subirini kesho"

Hizi nyimbo zimeisha? Hapa ikitokea Wydad kapata goal, hamtamuita kibonde tena.
Teh teh teh 😂😂😂

Kwa Sasa wapo dimbwini wanasubiri Simba ifungwe waibuke kwa pamoja.
 
Hii mechi Yanga angeshamtandika chuma 3 Wydad mpaka saa hizi.

Ni kweli kaka,Hata simba angeshamfunga Medeama 2!
Nimeumia sanaa kaka kwanini Yanga ameshindwa kumfunga/Kupata ushindi kwa Medeama,Kibonde medeama! Inauma sana kaka[emoji30]
 
Back
Top Bottom