FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

1702154724429.png
 
Boss sijui unatazamaje mpira ila binafsi naona Giroud alikuwa ni striker mzuri na aliaminiwa na timu tofauti tofauti hadi katika uzee wake.

Ukishasema hakuna striker wa maana zaidi yake inamaana ni sticker bora aliyepo

Mkuu, aina ya uchezaji ndo inasababisha mchezaji aaminiwe na kupangwa au la.
Kuna kuangalia mpira kwa jicho la kiufundi zaidi ambapo ni wachache wako nalo na Kuna kuangalia general perspective ambapo kila mtu anaweza akatoa maoni yake na akawa hayuko mbali na uhalisia.

Sasa huyu Giroud kusema eti alikuwa ni striker mzuri hata mama Swaumu ambaye hajui kabisa mpira ila anauangalia na kutoa mawazo in general perspective atakucheka sana.

Giroud anakuwaje striker mzuri ilihali kwenye kombe la dunia 2018 alikuwa na 0 goals contribution.... Yaani striker ambaye alimaliza michuano hana goal Wala hana assist hata moja unamuona mzuri eti kwa sababu anacheza kila mechi? Unataka kuniambia mwaka huo Giroud alikuwa ni Bora kuliko mastriker wenzake wa ufaransa kama Thomas Leimar ambaye ATM walivunja benki £65m, Nabil Fekir na Alexander Lacazzete? So we kwako mchezaji akiaminiwa tu na kocha tayari ni mzuri? Hujui kwamba sometimes kunawepo na mahaba tu ya kocha kwa mchezaji husika!?

Narudi kukwambia kwamba aina ya uchezaji wa Kibu D ni ya kuigharimu timu, hajui kukaba, akikaba anacheza madhambi ona kama Leo amerudi nyuma akasababisha penalty.... Sasa hii ndio aina ya uchezaji inayomfanya aaminiwe na kupangwa? Kwa timu yoyote serious lazima ingemtaka abadilike kiuchezaji ama lasivyo angetafutuwa mbadala wake mara moja.
 
Goli la dakika za jioni namna hii huwa linauma sana, Simba Sc tunaihitaji sana hii draw leo.

Matokeo yakiisha hivi, ASEC na Simba Sc, watakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kupita hapa.
Ni mwendo wa droo mpaka robo fainali..
 
Back
Top Bottom