Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
86' Moses phiri anajitahidi kulenga goli lakini amekwama 😂😂🚮🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok BossMungu hayupo
Kila mchezaji huwa na sifa zake, speed haijawahi kuwa sifa ya Chama hata kabla ya kuitwa mzee na baadhi ya wajinga.Chama ni mzee hana spidi kama ana furushi la mavi yani
Na iwe hivyo lakini robo lazima tutingeNi mwendo wa droo mpaka robo fainali..
Wameshafyata midomo yao sasa hiviDah .... Utopolo poo mnaiona CL Lakini..?
Dah tusiwe tunasumbuana CC..Jamani..!
Kwa hiyo mkuu unataka sema kocha wa ufaransa alikua kilaza na alijua jamaa sio strika mzuri na akampanga?Kuna kuangalia mpira kwa jicho la kiufundi zaidi ambapo ni wachache wako nalo na Kuna kuangalia general perspective ambapo kila mtu anaweza akatoa maoni yake na akawa hayuko mbali na uhalisia.
Sasa huyu Giroud kusema eti alikuwa ni striker mzuri hata mama Swaumu ambaye hajui kabisa mpira ila anauangalia na kutoa mawazo in general perspective atakucheka sana.
Giroud anakuwaje striker mzuri ilihali kwenye kombe la dunia 2018 alikuwa na 0 goals contribution.... Yaani striker ambaye alimaliza michuano hana goal Wala hana assist hata moja unamuona mzuri eti kwa sababu anacheza kila mechi? Unataka kuniambia mwaka huo Giroud alikuwa ni Bora kuliko mastriker wenzake wa ufaransa kama Thomas Leimar ambaye ATM walivunja benki £65m, Nabil Fekir na Alexander Lacazzete? So we kwako mchezaji akiaminiwa tu na kocha tayari ni mzuri? Hujui kwamba sometimes kunawepo na mahaba tu ya kocha kwa mchezaji husika!?
Narudi kukwambia kwamba aina ya uchezaji wa Kibu D ni ya kuigharimu timu, hajui kukaba, akikaba anacheza madhambi ona kama Leo amerudi nyuma akasababisha penalty.... Sasa hii ndio aina ya uchezaji inayomfanya aaminiwe na kupangwa? Kwa timu yoyote serious lazima ingemtaka abadilike kiuchezaji ama lasivyo angetafutuwa mbadala wake mara moja.
Tusubiri dk 90, mpira hubadilika ndani ya sekunde.🐸 🐸 🐸 🐸 are well involved today
Wakubwa ni Wydad au Simba ?Wakubwa nao wana shangilia draw siku hizi, tuta elewana tu