FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Simba's best wasn't enough, they've lost to the better side and one of the top sides in Africa although to them it's a significant achievement to have been eliminated by the reigning champions.
Imeloa simba
 
Nawasalimu mashabiki wa Yanga tu.

Uzi huu wauone makolo wote ndani na nje ya mipaka yetu.

Nimemaliza.
 
Wote mlicheza Uwanja mmoja, wote mlicheza Dakika 90+, wote mlipewa Penalty 5/5. Msianze kujifariji na Maneno eti “Tumepambana Kiume”. Kwahiyo Wydad walipambana ki Kike??[emoji23]

Mliopambana Kiume mbona Hamjashinda?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi hata mabao ya matuta nayo ni robota tano tano za mama? Sielewi hapo; Simba watapata robota 15 za ziada kabla ya kuaga mashindano haya.
Dah!...bora wapate tu hata wakafute jasho.
 
Bahati haikuwa yetu............
Kapombe alikunywa pombe kidogo............
Kipa hakuwa mzoefu ila ni hatari............
Tumetolewa kiume..............
Chama katukosesha nusu fainali...........
Mwakani tutaingia nusu fainali............
Onyango mzee aondoke.................
Wydad wa kawaida...............

Simba Guvu Moya.



Ongezea maneno watakayotumia kujifariji leo
Ukitema povu tunadekia.
 
.......zero attempt ....zero shot in target sasa ingekuwaje
 
You have a point Sir....
 
Hao Yanga kilichofanya wasijikaze kwa Al Hilal ni kipi ?
 
Dah!...Mkuu punguza hasira..
 
Sasa strikers hawana on target hata moja,unamlaumu beki,beki zilifanya kazi yake,na zimezuia kweli kweli

Strikers ilibidi na wao wafanye kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…