Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeloa simbaSimba's best wasn't enough, they've lost to the better side and one of the top sides in Africa although to them it's a significant achievement to have been eliminated by the reigning champions.
Acha tu mkuu.....Yaani hatujifunzi , mara mbili mfululizo tunatolewa Kwa penati
Dah!...bora wapate tu hata wakafute jasho.Hivi hata mabao ya matuta nayo ni robota tano tano za mama? Sielewi hapo; Simba watapata robota 15 za ziada kabla ya kuaga mashindano haya.
Kulia ni tiba nzuri kuliko kuhifadhi majonzi kifuani na moyoni.....hukukosea kabisa.usinikumbushe that day nililia badae nikajiona mjinga
You have a point Sir....Kiufupi Onyango is hopeless na ni scam . Ifike pahala sasa kama
Kweli simba inataka kufika mbali , iachane na hawa wachezaji wa TIA maji tia maji
Tukubali kwamba Simba haina improvement , kwa miaka 5 SSC anafika Robo fainali ima shirikisho ima ligi ya mabingwa...... kwa miaka 5 hiyo hajawahi kuvuka hiyo hatua, what do you think ?
Ni mambo ya hovyo, kama Yanga asingekuwa kwenye hatua ya kwenda nusu fainali, basi tungeaminishwa tena this is big achievement.......tunaona wote kuwa this is not big achievement..... Yanga anakwenda kuandika historia MPYA
Simba mjitafakari
Yanga TIA maji TIA maji , anakwenda nusu fainali however hakuwa na path ngumu ..... but it does not matter .
Hii mambo ya kufa kiume ni ujinga, ukiangalia game Dar , ni ubinafsi na lack of team work zimewaponza
Sioni improvement kwa sababu miaka 5 mfululizo huvuki hiyo hatua, unawezaje kusema kuwa you are learning !
Tukubali kuwa hatusajili wachezaji wanaoweza kutuvusha hatua ya robo fainali,tunachoweza sisi ni makundi tu kwenye point,
Knock-out hatuziwezi...... hatuna wachezaji wa knock out tulione hili.
Nilisema hakuna mambo ya Inshallah inshallah, Mpira ni plan na investment
Mfano mtu kama Chama , Onyango , Ntibanzoka...:..banda etc etc.... hivi unawezaje kuwaza kutoboa kimataifa na wachezaji kama hawa . Haiwezekani..... tumewatumia hawa muda wote hawajawahi kutuvusha..... tulione hili
Kuna mtu yoyote anajua kwanini Sub ya Phiri imechelewa..
Nenda ukakabe wewe kama ni kazi rahisi,usifanye kosa hata moja kwenye mpiraKinachomfanya Onyango aendelee kuwepo ndani ya Simba Sc ni kitu gani
Hao Yanga kilichofanya wasijikaze kwa Al Hilal ni kipi ?Mi ni shabiki wa Simba ila niseme tu ukweli laiti kama Yanga wangejikaza wakaingia Hili kombe la Champions League wangeweza hat Kufika Semi final au hat Fainal kabs Na hii ni kwasabb timu nyng bora za Africa sasaiv zimeshuka sana kiwango zimebaki znabebwa na Rekodi za makaratasi tu ila uwanjani ni wa kawaida sana,
Dah!...Mkuu punguza hasira..Wewe si ulitoka kwenye hatua za awali kabisa, shida inaanza pale mnapojaribu ku-equate CAFCL na CAFCC ili kutafuta faraja na matundu ya kuropokea.
It's Simba Sc katoka hakuna aliyekataa, ila swala la kutaka kuwaanisha watu kuwa mechi ya Simba sc itakuwa na uzito sawa na ule wa Yanga dhidi ya Rivers jpili, ni sawa na kulazimisha mnduku wako utafune muwa wakati sio kazi uliombiwa.
Sasa strikers hawana on target hata moja,unamlaumu beki,beki zilifanya kazi yake,na zimezuia kweli kweliKiufupi Onyango is hopeless na ni scam . Ifike pahala sasa kama