FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Dah! Pamoja na hii ratiba yangu pendwa ya kuwahi kulala mapema! Ila kesho nitajitahidi kukesha aisee.
Mkuu inafaa Wananchi tuji organize tuone namna gani tutasheherekea pamoja hichi kipigo kizito Cha Hawa ndugu zetu[emoji23][emoji23]
 
Tumeamka tukiwa na energy yakutosha kuendelea na mpambano huu..
Viva Wydad [emoji91][emoji91]
 
Goooooool[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460] Wydad wanandika goli la 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…