mchoma kitimoto
Member
- Apr 27, 2023
- 22
- 30
[emoji706][emoji706][emoji706]Zombi ni wee usijejua kuandika. Nimefunga mjadala na memkwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji706][emoji706][emoji706]Zombi ni wee usijejua kuandika. Nimefunga mjadala na memkwa
Wewe Onyango unasaliti timu yako?Simba atapigwa vibaya[emoji23][emoji23][emoji23]
😢/😁Kwa hiyo tukitolewa kwenye michuano utafurahi au utahuzunika?
AahahaaaKila la heri wydad timu yangu niipendayo kuliko kula
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
💪💪💪💪Mungu Ibariki SSC..
Mapema ndiyo Best.
AmenHii match inachezwa siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu. Nami siwezi kuwa mnafiki naomba diku iishe vizuri kwa mnyama kupewa kipigo takatifu ili siku yangu iishe vizuri. Wote tuseme Amen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeh nimesaliti Kambi mkuu
Sawa sawa.Kwaio ibaki 7-0[emoji848][emoji848]
Mkuu inafaa Wananchi tuji organize tuone namna gani tutasheherekea pamoja hichi kipigo kizito Cha Hawa ndugu zetu[emoji23][emoji23]Dah! Pamoja na hii ratiba yangu pendwa ya kuwahi kulala mapema! Ila kesho nitajitahidi kukesha aisee.
Kweli kaka ila tutapambana hivyohivyoSema awam hii kipa hatuna kabsa
Leo miye na wewe tupo pande mbili tofautiBabu yangu ni Mwarabu kabisa, lazima nishabikie vya nyumbani. Kila la kheri Wydad Casablanca. Msituangushe safari hii... nyumbani wanakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa