Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Roho mbaya tuu.... Simba wanapiga mtu leoKila la shari SSC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya tuu.... Simba wanapiga mtu leoKila la shari SSC
Siwezi kupitiwa, maana tutawaachia Uto waanzishe uzi wa kutusimangaMwenyewe nimeutafuta...
Nikajua G.O.A.T kapitiwa..
Yani simba Tatizo ni kelele tuHawa mbwa Wana kera sana afazali kidomodomo chao kimepotea
Leo ndo anauvunja mwikoAagh wapi..!! Mtu anaishia robo fainali leo. Anayeishia hapo, hajawahi kuvuka robo fainali
Naaaaam....Siwezi kupitiwa, maana tutawaachia Uto waanzishe uzi wa kutusimanga
AahahhaaaaSiwezi kupitiwa, maana tutawaachia Uto waanzishe uzi wa kutusimanga
Ongea na moderator ule uzi wauunge na huuNaaaaam....
Na hatuko tayari kwa Masimango[emoji1]
Simba anatoboa leo fresh yan na yanga tunaeza patwa mshangao[emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kivumbi cha kesho
Hawataamini macho yao
Sijui nikutag[emoji38][emoji38][emoji38]
Yanga hatuna mashabiki wajinga jinga. Bakia huko huko mikianiSimba anatoboa leo fresh yan na yanga tunaeza patwa mshangao
Labda mwiko wa kupikia ugaliLeo ndo anauvunja mwiko
Usikariri
We ni Peponi Moja Kwa mojaKila la heri waarabu, hakuna uzalendo wa kinafki hapa.
Simba sio kelele tu hata mitikasi tunaiweza umesahau april 16?Yani simba Tatizo ni kelele tu
Toka huko ndotoni urejeeUtabiri wangu:
Wydad 2-1 Simba
Aggregate: 2-2
Simba watafuzu kwa goli la ugenini
View attachment 2602093
April 16 bado inakutesa sanaWanaume Hawa hapaView attachment 2602256
Tatizo lenu mkishinda mna ngebe sana..!! Utadhani mlikuwa mnaheza na YANGA YA WANANCHI. Leo mnaliwa kibogaRoho mbaya tuu.... Simba wanapiga mtu leo
Ule nadhani ukae kivyake tu..Ongea na moderator ule uzi wauunge na huu