Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Utopolo wote mngepigwa a temporary ban kuwe na utulivuTwende huu Uzi ule umejaa unazi ingawa mi mwana wydad lakini zile kashfa zimekaa kitoto
Ft
Wydad 5 weKundu 1
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Mimi leo nimepewa nafasi ya kutangaza huu mtanange kwa lugha ya kiarabu. Litakapoingia goli la 5, mtegemee kusikia maneno haya kutoka kwangu;Waarabu wote kuanzia saa moja usiku tuanze kuchati kiarabu katika uzi huu tukumbushie enzi zile tupo nyumbani kwetu kabla hatujaja kutafuta maisha Tz.
Cc : mwarabu feki Greatest Of All Time Scars Carrasco Tate Mkuu Shadeeya
Mungu epusha Simba isishinde ili kutuepusha na dhihaka hiziSimba kesho nizamu yakuwapa tuition utopolo namna gani tunapita kwenda Semi final.
Uwezo tunao, Nia tunayo na Nguvu tunazo.
Simba 2-1 Wydad.
Tumsubili Mamelod mkubwa mwenzetu Semi final.
Acheni kuweweseka .....Usiku wa deni ...Jioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.
Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.
Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.
Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
Wydad 3 -Simba 0Jioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.
Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.
Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.
Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
Iyo pesa ungeenda hata kununulia mbususuNishampa mnyama
Mnyama over 1.5 goals @ 7.7 oddsIyo pesa ungeenda hata kununulia mbususu
Nuksi sasa wewe..#DimaWydad
Lolote baya liwakute timu wageni kwenye uwanja wa Mohamed V