Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Eewaaaaa!! 🤣🤣Waarabu wote kuanzia saa moja usiku tuanze kuchati kiarabu katika uzi huu tukumbushie enzi zile tupo nyumbani kwetu kabla hatujaja kutafuta maisha Tz.
Cc : mwarabu feki Greatest Of All Time Scars Carrasco Tate Mkuu Shadeeya
wengi wanabashiri hivyo👆 na wengine wanabashiri draw.ngoja tuone mbungi ya dk 90 itatupa majibu mubashara kikubwa mnyama afuzu kwenda nusu.Wydad 3 -Simba 0
Sasa Mkuu nani kakwambia na kwetu Morocco kuna mvua. Teh. 🤣🤣Kwa mvua hiii ya Leo Simba lazima atoboeeeh mola tusaidia [emoji120]
Mi ni nani hasa hata nisiwatakie heri Wana Thiiimba ilihali wewe ulitutakia heri Wananchi tulipocheza na Rivers Utd? Cc Kalpana.Nimeamka nimekutana na huu uzi umeanzishwa nimejisikia tumevuka kwenda nusu fainali...
Simba nguvu moja
Tukutane saa 6.00 usiku...
Uhalisia vs matarajioNuksi sasa wewe..
Aahaahaaaaa
Hapo weka GG ina uhakika wa kula 100%
Sawa mkuuHapo weka GG ina uhakika wa kula 100%
Utaacha lini unafikiTwende kazi mnyama piga hao waarabu
Tusha wapa tution jinsi ya kushinda mechi kwa warabu kama mlielewa au vichwa vigumu shauri yenuSimba kesho nizamu yakuwapa tuition utopolo namna gani tunapita kwenda Semi final.
Uwezo tunao, Nia tunayo na Nguvu tunazo.
Simba 2-1 Wydad.
Tumsubili Mamelod mkubwa mwenzetu Semi final.
Maisha bila unafiki hayaendiUtaacha lini unafiki