FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Tulioko uwanjani Mambo Yako [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Wameshatepeta kabla hata ya kuanza mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
 
Hivi mnajua Tanzania na Morocco tuna ushirikiano rasmi kwenye elimu ya jadi? Uchawi wa kumfunga mmorocco tunaujua. Leo tunaamua tu tumpeleke tukamzikie Kinondoni au Kawe.
 
التاريخ من المقرر أن ينكسر
 
Kwani hamjui majini ni haari kuliko mizimu? Amini amini nawaambieni leo mtakosa usingizi
 
Nawatakia makolo kila la kheri, washinde mechi kwa heshima ya nchi yetu, japo watatupigia kelele.
 
Mkuu mwarabu feki nilijua unawatania bana kumbe ulimaanisha hatimaye umewaanzishia uzi wa updates. 🤣🤣🤣
Huu uzi ulitakiwa kubakia mpaka mwisho. Maana ulianzishwa saa sita kamili usiku wa kuamkia leo!

Cha kushangaza Mods mpaka sasa wameshindwa kuunganisha ule mwingine wa yule jamaa aliyeanzisha uzi wake saa sita na dakika nne!

Na kwenye mechi ya Yanga Jumapili wafanye hivi hivi. Maana haileti mantiki mashabiki kutuanzishia uzi, na wakati sisi wenyewe tupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…