Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Pole nkamu....
Mimi huwa siangaliagi hali ikiwa ngumu...afadhali nije niangalie baadaye wakati nayajua matokeo
Naombeni link ya kucheki mechi
Naombeni link ya kucheki mechi
Tatizo tunapoteza sana mipira hata bila kukabwa, na wachezaji hawafungui kuomba mipira (wote wanakaa sehemu moja).
Saido atakua msaga kunguni mzuri ..kocha mpuuziSakho alitakiwa kuanza hii mechi badala ya Saidoo... huyu kocha naye fala tu
Link jamani ile ya mwanzo imepotea haiparikani