FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Tukishaanza kupiga pasi mbili tatu tunaanza kujisahau kudhani kuwa tushashinda game....mzamiru apunguze mbwembwe pale kati
 
Mikia mpaka saizi mmecheza vizuri,mnakitu mnaweza kufika mbali kama siyo povu ya Pepsi
 
Kambaaaaaa... Wydad wanatangulia

Wydad 1 Simba 0 ( Sambou 24')

Aggregate 1_1
 
Back
Top Bottom