Hapo hamna golikipa, na lawama zote zitaenda Kwa onyango
Hahaaππππ mkuu umeniua mbavuπππAisee yani mpka mpira uishe pumbu zangu zitakua nyekundu nimezibana mwanzo mwisho.
Wanasimba baneni pumbu hawa warabu wa nzega wapoteane hvo hvo
Kapombe, onyango kitete tupuTutulie, hili goli linarudi
Yeah wamecheza vizuri dk 20 hivi.......goli limekuwa rahisi sanaBado nina imani na Mnyama
Waarabu watu wema Sana walituletea dini