kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Umedunda wapi?Ule mpira umedunda mzee..kosa la onyango lile anamuacha mtu anapiga kichwa kifala
Jamaa kashazoea kurusha rusha mikono tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umedunda wapi?Ule mpira umedunda mzee..kosa la onyango lile anamuacha mtu anapiga kichwa kifala
Saido si wamvunje atoke tu
[/QUOTE🖕🖕🖕🖕
Muda badoooKamati ya Ufundi jamani[emoji24]
😂😂😂😂Huyo hashikiki leo na ukute kaweka mkeka ushindi kwa simba uwiii nisije wekwa ignore list😂😂😂
Waarabu wamejua kunifurahisha ulijuaje 🤗🤗🤗🤗🤗Basi hapo akina Bantu Lady na shoga ake Numbisa wamefurahiii roho zao kwatu
Kacheza kama De GeaSafi Ally salim[emoji123]
Dah!...tukomae tu hamna namna.Japo uwanja umeinama bado nafasi tunayo...lets go MnyamaView attachment 2602975
Ule mpira kipa hakuutarajia alidhani onyango atauchukua, Onyango anausubiri mpira umfikie kichwani kana kwamba yuko pekeyake uwanjani.Kipa anawaza kupanchi badala ya kudaka.