Makuwani
Senior Member
- Feb 17, 2014
- 197
- 187
nimecheka sana dah!Asee simba wame anza kucheza kong fu nd ilkua plan B yao kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimecheka sana dah!Asee simba wame anza kucheza kong fu nd ilkua plan B yao kumbe
InshaaLlah..Kila la kheri mnyama. Mkashinde inshallah.
Watalala na viatu in Atoto voice 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haiwezekani simba aingie nusu fainali mbele ya widad nyumbani kwakePamoja na unazi wangu, natamani sana simba wafuzu round hii.
Bana pumbuSisi mashabiki tulio Bar tunaruhusiwa kuagiza kinywaji gani
...uwe na shukrani hata kwa habari tu uliyopata. ungeipatia wapi? picha zitakuja badae.Shobo mbaya!! Dunia ya sasa habari bila picha/video clip sawa na takataka tu
😂😂😂😂
alitanguliza mapenzi mbele badala ya pesa...??