FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

20230428_101931.jpg
 
Daah huyu Sambuuu mabeki wenu hawaruki nae mipira ya juu atawa Sumbua sana.
 
Makachero wa simba waliotangulia Wiki moja kabla ina maana walivaa makoti tu bila bahasha? Huyu refa Angekua na bahasha yetu mpira huu ungeisha saa hii ...
 
Kipa anawaza kupanchi badala ya kudaka.
Ule mpira kipa hakuutarajia alidhani onyango atauchukua, Onyango anausubiri mpira umfikie kichwani kana kwamba yuko pekeyake uwanjani.

Msimu ujao afunguliwe mlango aondoke.
 
Back
Top Bottom