Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
[emoji23][emoji23]Onyango vavavayooooooo...unarukaje kichwa kingese
Onyango alimgeuzia jamaa matako?😁😁😁😁Hili goli ni la onyango...huwezi kumuacha stiker anapiga kichwa huku umemgeuzia matako.
Mwambieni refa aache kuwabeba.
onyango ukimcheki akiwa anapokea maelekezo utafikiri ni mtu makini vibaya mnoHili goli ni la onyango...huwezi kumuacha stiker anapiga kichwa huku umemgeuzia matako.
Lile goli goli kipa yeyote mzoefu hata kado t hafungwi,mpira kaukuta vizuri tu sijui alikua anafkiria Nini pale anausindikiza na macho na mikono ,..hata commentator anasema kbsa hii goli kipa alitakiwa adake au atoe ..Golikipa ni tatizo, sasa Beno alisafiri na timu ili iweje?
Kumbe umeona Chama awe makini sana hasa kwenye zile battle za kutumia nguvu.Hawa washenzi watamtarget Chama apate kadi ya pili, awe makini sana maana mtu wao alifanya faulo ile ile kama ya Chama ila refa hakutoa kadi.
Onyanga anatetemeka tu, fala sana
Ni kweli.Ila kipa Salum naye asikariri, kuna mipira ya kudaka. Ule mpira ulikuwa wa kudaka.
Uzoefu una mcost dogo ile ilikua ana save kabisa ..Mpira umedunda mbele ya kipa na kisha ku-gain momentum ila kipa alikuwa ana save ...