Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Refa yupo fair kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa yupo fair kabisa
Usiseme hivyo sio vizuriHapa ndo naikumbuka game ya Lupaso na chance tulizozipata
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Haha, tatizo linaanzia hapa. Yaani hamjashinda mnaanza kutema povu, basi fungweni tu tujue moja.😁Kombe la wakubwa hili.
Nyie pimbi tulieni
Kivipi? Kwenye swala la V.A.R refa ndiye anayestuliwa kuhusu kufanyika kwa review tukio. Ingekuwa ni maamuzi ya refa pale angeamua kufunika penati kabla hata ya kufanyiwa review tukio. Ila refa aliruhusu mpira uendelee ndipo akazuiwa kwanza na watu wa V A.R asimamishe kwanza.Ukweli ni kwamba Refa anawatafutia magoli Hawa Waarabu.
Afu amvue ubingwa umesikia wapi umeona wapiHaiwezekani simba aingie nusu fainali mbele ya widad nyumbani kwake
Huyu goalkeeper anjitahidi hasa ukizingatia ugeni kwenye mechi za kimataifa na pressure ya mchezo wenyewe mi naona anastahili kupewa maua yake[emoji38][emoji38][emoji38]
3Yote mangapi ?..
Huyu ni Maguire wa Simba Sc.Onyango huyu ndio hamna mbadala au........ Leo huyu atafanya usiku muuone mrefu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]majamaa hayanaga akili aiseeeeh
Sujajua why mechi za ugenini hajiamini.Huyu ni Maguire wa Simba Sc.
Hakuna goli la bahati mbayaDogo alifungwa goli la bahati mbaya tu
Golikipa ni tatizo, sasa Beno alisafiri na timu ili iweje?Tuachane na onyango..ili goli ni la kipa kabisa ..poor poor goal keeping .