kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Utopolo hawawezi kuweka mguuIla Kiukweli Hii Ni Game ya Kiume Hasa.
Achana na sisi mkuuLeo mtatoa kila aina ya eksikyuzi [emoji16][emoji16]
Waache watajinyonga hawa saulimetiLeo mtatoa kila aina ya eksikyuzi 😁😁
Imefutwa.Eti penatiiiiiiii
Nasubiria kadi nyekundu kwa Chama, yani faulo kidogo tu tutashuhudia kadi nyekundu hasa waarabu wakichelewa kupata goli la pili.Refa kashapangwa huyu,anatafutia waarabu ushindi,alishaweka penati hio [emoji1787][emoji1787],wasingemzonga angeiacha
Mmeanza kupunguza namba?Game itaisha 3-0
Ee ndio n refa kila mwenye macho analuona hilo!Naona simba mshapata cha kujitetea..refa