Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Huyo fundi ilikuwaje kakuwekea soketi juu kabisa kwenye singibodiWaarabu hawaamini
Na nyie mnaoingiaga na paka uwanjaniHuu uchawi sasa[emoji23]
Hivi ni matuta au 120Twende matuta tujue ni nani ana bahati ya kuendelea maana kimpira tumelingana, eeeh Mungu tusaidie sisi aiaeeh.
Hiyo nayo no mbinu ya mpiraMakolo wame amua kukaba kifamilia
Mitetemo miguu haina teamwork tenaKipa wa Simba anapiga Goalkick nje ya uwanja kila saa