Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekunywa mafutaMwarabu amekula kweli leo??
Atafanya tukifungwa dakika za mwishoni.Kocha hafanyi sub?
miaka ni namba tu! Haina uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa mchezaji uwanjani!! Messi ni mzee sana zaidi ya Onyango, ana miaka 36!!Onyango kijana wa miaka 22.5
Kocha ka left groupMbna Simba hakuna sub
Nyoni kaingia as how I said atafaa kwenye hizi dakika za mwisho.Unakumbuka alichofanya Sakho kwenye first leg?
Phiri ni risk, hana game fitness
Nyoni naye ni mchezaji wa msimu, huwenda akiingia atacheza vizuri lakini pia akavuruga kabisa mchezo wenyewe kwa poor performance
Ni kweli Chama amekuwa akicheza chini ya ubora wake tuliozoea ila hiyo ni kutokana na kadi ambayo anayo.
Hofu ya kupigwa kadi nyekundu ndio inamfanya ashindwe kukaba vyema
Kwa matokeo haya ni droo tayariYani kama tutashindwa kupat goli, atleast tufike hata kwenye matuta kuliko kutolewa ndani ya dk 90 na hawa barbarians.