FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Yani kama tutashindwa kupat goli, atleast tufike hata kwenye matuta kuliko kutolewa ndani ya dk 90 na hawa barbarians.
 
Unakumbuka alichofanya Sakho kwenye first leg?

Phiri ni risk, hana game fitness

Nyoni naye ni mchezaji wa msimu, huwenda akiingia atacheza vizuri lakini pia akavuruga kabisa mchezo wenyewe kwa poor performance

Ni kweli Chama amekuwa akicheza chini ya ubora wake tuliozoea ila hiyo ni kutokana na kadi ambayo anayo.

Hofu ya kupigwa kadi nyekundu ndio inamfanya ashindwe kukaba vyema
Kifupi sina haina wachezaji wa kutosha
 
Back
Top Bottom