Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Una namba ya kocha au upo uwanjani mkuuPendekezo lako la sub ni kati ya mchezaji yupi na yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una namba ya kocha au upo uwanjani mkuuPendekezo lako la sub ni kati ya mchezaji yupi na yupi?
Dakika ya 73😆😆[emoji23]
Wakawaida sanaWaarabu hawana maajabu...wanajiangusha na kusaka penati za mchongo.
Wamekula mafutaWaarabu hawana maajabu...wanajiangusha na kusaka penati za mchongo.
😂😂Mungu yuko na Ukraine kwnye vita huko embu wacha kumsumbua kisa ndugu zake onyango😂😂😂😂
Yani mtani mlifanya makosa... wydad kawaida sana sema tu historia mkikaza mnatoboaHamna timu basi tu... Simba hapa ndio tunajutia kushinda goli moja nyumban
Waingie kina nani? Ungekuwa unaweka pendekezo unaweza kuta kocha anachungulia huku anasoma commentsToa Chama na Saidoo
دعنا ندخل السوق ، الجدل لا يساعدPambana Na Shida Zenu, Ila Juaa Ivyo Mnyama Anawanyima Raha Mashabiki Wa Bingwa Mtetezi.
Saidoo anatakiwa apumzike hizi dakika za mwisho aingie Phiri au Shako.Pendekezo lako la sub ni kati ya mchezaji yupi na yupi?
Muda hauendi kabisa[emoji1]Dakika ya 73[emoji38][emoji38]