Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Daah, kwahiyo nimekuwa ndugu yake Onyango tena?Mungu yuko na Ukraine kwnye vita huko embu wacha kumsumbua kisa ndugu zake onyango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah, kwahiyo nimekuwa ndugu yake Onyango tena?Mungu yuko na Ukraine kwnye vita huko embu wacha kumsumbua kisa ndugu zake onyango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wanasifiwa eti wana vibe mwanzo mwisho, vibe liko wapi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]Stress Walizonazo Mashabiki wa Awa Waarabu Koko Naona Jinsi gani tunaonyesha Class ya Kua Kwenye Hii Michuano.
Robertinho ni fala tu....Jamaa wanafanya Sub kuingiza nguvu mpya, sisi tumeridhika na wazee wetu waliochoka ilhali game inaelekea mwishoni.
Tuingize viberenge tufukuzie counter.
Ni umbwaRobertinho ni fala tu....
Pambana Na Shida Zenu, Ila Juaa Ivyo Mnyama Anawanyima Raha Mashabiki Wa Bingwa Mtetezi.daraja la ushuzi
Ana misimamo ya kijinga sana, ingawa ni kocha mzuri.Robertinho ni fala tu....
Pendekezo lako la sub ni kati ya mchezaji yupi na yupi?Jamaa wanafanya Sub kuingiza nguvu mpya, sisi tumeridhika na wazee wetu waliochoka ilhali game inaelekea mwishoni.
Tuingize viberenge tufukuzie counter.