Kafanyaje Simba nasikia kelele banda umiza kuna nini ?SIMBAAAAAAAA OUUUUUUUUUUTTTTTTTTT
Tuna paziaSimba hamna golikipa mle
Utashangaa wanabeba kombe sasa, ndop mpira ulivyoHawa wajinga nusu watapigwa wachakae
Huwezi mlaumu dogo hana experience ya hizi mechi kubwa na mpaka hapo anastahili pongezi na si kulaumiwa.Simba hamna golikipa mle
Yeah heshima full tank kabisaOya mtani sio mbaya mmepambana. Heshima kwenu............
Sema wamefungwa 5Wametoka kama tulivyo panga