Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Bora aisee kelele zitakata kwa muda hata hivyo wydad hatafika mbali akikutana na team aggressive atakula nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima gani?FT' Wydad 1-1 Simba
4-3 on penalties
Sina deni na wana Simba mmeilinda heshima ya Nchi...salute kwenu🫡🫡🫡
Thimbaaaaa KapakatwaKafanyaje Simba nasikia kelele banda umiza kuna nini ?
Alidaka mechi ya Orlando PiratesNa Manula tungevuka hapa
Maombi hayasaidii Kwa timu bora mkuuHapa ni kuomba tu Yanga waishie nusu fainali
Wamelipa bet uliwapa way Daddy?Thanks Simba
Kuna mtu kamwekea godoro hukoKipa nae habadriki, kila mara uelekeo huo huo
Hamna timu pale ni vile CAF hawana referees wanaotoka kusini mwa Jangwa Sahara.Utashangaa wanabeba kombe sasa, ndop mpira ulivyo
Mimi nilijua mapema kuwa hatuna kipa wala wapiga penalty, na sidhani hata kulikuwa na maandalizi ya kucheza penalty.Kwa penati bado sana