computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Hakuna cha heshima hapo SIMBA OUUTTTTTT kutolewa kunaumaFT' Wydad 1-1 Simba
4-3 on penalties
Sina deni na wana Simba mmeilinda heshima ya Nchi...salute kwenu🫡🫡🫡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha heshima hapo SIMBA OUUTTTTTT kutolewa kunaumaFT' Wydad 1-1 Simba
4-3 on penalties
Sina deni na wana Simba mmeilinda heshima ya Nchi...salute kwenu🫡🫡🫡
TutaonaMaombi hayasaidii Kwa timu bora mkuu
Hapa ni kuomba tu Yanga waishie nusu fainali
Wametoka kiumeMimi ni Yanga, lakini Simba lazima wapewe heshima wanayostahili: wamepambana kibabe sana!
Wapi Tena huko ?Thimbaaaaa Kapakatwa
Hakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting.Mimi ni Yanga, lakini Simba lazima wapewe heshima wanayostahili: wamepambana kibabe sana!
Dunduka kalale 🙂 🙂 🙂Tumekubali tumetolewa kwa penalt, vijana wamejitahidi bahati haikuwa yetu.
Kutoka ni kutoka tu, hakuna jinsia hapo.
Wa kimanzichana😀😀Mnyama anashinda hii aisee [emoji23][emoji23] Hawa waarabu gani Hawa
Acha waende tu, ila kwa uchezaji ule hawatafika mbaliWydad waleee Nusu Fainali
Hawawezi kuchukua kombe, yani huyy Wydad hana uwezo wa kumfunga yoyote kati ya watakaobaki nusu fainali na kuendelea.Utashangaa wanabeba kombe sasa, ndop mpira ulivyo
Amini mkuuLa sivyo mtakunywa maji kwa shida sana
Hakuna Cha kufurahia hapaThis is Simba and This is Caf Champions League.