Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Watu walishasema... chama kucheza na jukwaa ndo imetugharimu...hii mechi ingetakiwa iishe kwa mkapaUkizingatia refa kawabeba gemu nzima, vijana wamepambana. Magoli tuliyokosa gemu ya kwanza ndiyo yamezuia Simba asivuke.
Dima maana yake nini!?
Kamamaa embu kalale usije ukatuzimikia hapa😂😂😂😔😔
Niliichukia penalty toka Fainali za Kombe la Dunia tulichofanywa Team France.!!🙌
Penati kama ile ya mwisho ya Chama, wataalamu wanapigaga katikati.
Akikutana na mamelodi,kaisha.Hawawezi kuchukua kombe, yani huyy Wydad hana uwezo wa kumfunga yoyote kati ya watakaobaki nusu fainali na kuendelea.
Naunga mkono hojaWatu walishasema... chama kucheza na jukwaa ndo imetugharimu...hii mechi ingetakiwa iishe kwa mkapa
Yaani wewe ni Mzalendo haswa penye ukweli tuuseme tu wamepambanaJapo mimi Yanga ila simba amepambana
Mapema kabisa tunakiwasha kwenye bonanza😆😆😆😆Tunasubiria mechi ya bonanza jpili.
Watu waliona mbaliSimba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili. Katika mchezo huo Simba inatarajiwa kuingia kwa nidhamu kubwa ya ulinzi hivyo kuwa vigumu kwa Wydad...www.jamiiforums.com
Mimi nafurahi tu Madundukaz kutoka ,najua mtakuwa na vinenonvya kujifariji lakini haisaiidii chochote .Kumbuka tumecheza na bingwa mtetezi ulama team za shirikisho ni za hovyo hovyo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tusilaumu sana mkuu lile goli ni kubwa
AahhaaaaaaBora maana leo tusingelala kwa kelele