FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Shoga leo nawaonea huruma sana, sijui itakuaje. Nasikitika baada ya dakika 90, hatutakuwa na mikia hapa jukwaani mtapoteana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mambo yanazungumzika tu Shogaaa....
Kwanini tufikie kutakiana Ubaya wa wazi wazi namna hii[emoji1787]

Tuombee mema hata kidogo basi kipenzi..
 
Back
Top Bottom