mganda og
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 134
- 445
Acha uchuro wewe. Kila la kheri waarabuKila la kheri kwa Tanzania...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchuro wewe. Kila la kheri waarabuKila la kheri kwa Tanzania...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mimi sijawahi na haitatokea, hiyo timu hata siielewi na siipendi. Leo waarabu wawafanyie kitu mbaya tu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
InshaAllah maombi yako yatatekelezwa kikamilifu[emoji120][emoji120] 7-0Mimi sijawahi na haitatokea, hiyo timu hata siielewi na siipendi. Leo waarabu wawafanyie kitu mbaya tu [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Yaani wameshaanza kutetemeka na game Wala hata haijaanza[emoji1][emoji1]Waarabu watuondolee kelele huku Gongo la Mboto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Kuna vyura visebengo wamenyeshewa na mvua wamekimbilia kuanzisha uzi hawajielewi..
Hapa tunakwenda kwa nguvu moja.
Hamna itakua 2 kwa 1.Kinyume chake
Wydad 1-2 Simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hii picha imepigwa leo usiku...View attachment 2602118
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii picha imepigwa leo usiku...View attachment 2602119