Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Unadhani ni rahisi namna hiyo?Samahani sana.
But at FT WAC 5 : 0 SIMBA
ON AGGT: WAC 5:1 SIMBA.
ASANTENI KWA KUSHIRIKI, MNYAMA CHAMA MOJA🫡🫡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani ni rahisi namna hiyo?Samahani sana.
But at FT WAC 5 : 0 SIMBA
ON AGGT: WAC 5:1 SIMBA.
ASANTENI KWA KUSHIRIKI, MNYAMA CHAMA MOJA🫡🫡
Huu ndio uzi mkuu,umekazana uunganishwe uunganishwe tangu juzi,una shida gani mkuu.Maxence Melo mkuu tunaomba huu uzi uunganishwe kwenye ule uzi mkuu wa Mechi.
[emoji382][emoji382]Greatest Of All Time hivi umeachaje tunaanzishiwa uzi na mtu hata kutofautisha r na l hawezi!!!
Tutaonana baada ya mechi.Labda we ndio ukimbie hii komenti yako
Wanakuwaga na viherehere vya kuanzisha nyuzi mechi zetu. Sasa leo nimewaanzishia uzi wamepanic balaa[emoji23][emoji23]Mkuu mwarabu feki nilijua unawatania bana kumbe ulimaanisha hatimaye umewaanzishia uzi wa updates. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeongea nn hapo??Unaleta porojo za Mwaka 47 huko? Halafu Simba haikushinda kwa zamaleki, ilipigwa 1-0, ila ikasonga mbele kwa mikwaju ya penati
Simba kashatoka mbona hata mtoto mdogo anajua, na Yanga kashafuvu semi hata wewe unajua Hilo, au we nawe ni wale aliosema Aden Rage?Yanga wanalilia lia Simba afungwe ilaikitokea hivyo jua Yanga anapigwa keshokutwa...tukose wote tu
Unadhani ni rahisi vigogo kufungwa 5,acha kujifariji mkuuHata mkono sio mbaya, akitwangwa wiki ni burudani.
Warabu gani mliwashinda?Tusha wapa tution jinsi ya kushinda mechi kwa warabu kama mlielewa au vichwa vigumu shauri yenu
Simba kupigwa hamsa kimataifa mbona ni kawaida mkuuUnadhani ni rahisi vigogo kufungwa 5,acha kujifariji mkuu
بسيقفي عيسى عيسى نيرنخ نبويه علوم
نىنملبر
نيرتبيييسيب
وليس إليه فسسيابسسس 5:1
Simba alizabuliwa na Zamalek 1-0. Na hayo ndio matokeo yanayohesabika, matokeo ya penati Huwa hayahesabiwi ndio maana hata magoli ya penati baada Mpira kuwa umeisha hayahesabiwiUmeongea nn hapo??
😂😂😂Wanakuwaga na viherehere vya kuanzisha nyuzi mechi zetu. Sasa leo nimewaanzishia uzi wamepanic balaa[emoji23][emoji23]