FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Ila Kiukweli Tukicheza Ivyi Dakika Zote Tunatoboa Walah
 
Refa wao.

Simba Sc waache kucheza kwa kumtegemea refa.

Simba Sc wanakosa utulivu katika kuendeleza mchezo, pasi zao nyingi zinapotea bila sababu.

Atleast tutoke first half tukiwa hatujaruhusu goli.
 
Hawa wachezaji wa wydad n mayai mayai kila saa wanaumia wao tu eti
 
Hii mechi inamuhitaji Sakho aingie mapema...wydad wapo vulnerable at the back wanapofanya counter attacks
 
images%20(4).jpg
 
Back
Top Bottom