Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiungo cha Simba sikielewi leoSimba wanakosa mtu wa kudrible hapo Kati kati
Kuitaja uto humu hakusaidii kupunguza maumivu ya aibu unayoenda kulitia taifa leoWanagombana hapa Wydad kama wanavyofanyaga Utopolo
Si ajabu chama akala umeme hii game.Chama atoke, hii game haitaki madoido ya kijongoo.
Naona Kuna namns tutanyongwa uko mbeleni as mpira unavyoendeleaUna review clear offside!!
Teh teh 😂😂 umenivunja mbavu teh 😂Onyango kasema hatoki
Unacheza na fitina za waarabu nini?refa alikua kashaiacha hio 🤣🤣Nitashangaa sana kama litakuwa goli hilo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio shabiki wa Yanga ila huwa nafurahi sana Simba IKIPIGWA.. Kwa maoni yangu wapigwe tu.
Wanapoteza mipira kwa kitete na panick za hovyo.Aisee kuna wachezaji wa simba humo ni kama wanaogopa mpira.
Si uliaga unalala ww?Jamani jamaniii
Ni ujinga wa refa, hakukuwa na faulo hapo.Zimbwe kachoma huko
Huwezi amini tunahitaji goli moja tu Simba tusonge mbele