Kivumbi leoDakika ya 6 mzize anakosa goli la wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivumbi leoDakika ya 6 mzize anakosa goli la wazi
alijua atapatia kama ile sikuMzize 😞😞😣
Mungu hatokei Simba mazeeeNaunga mkono hili
Hatutoboi hii game mkuu, mimi nawaandaa kisaikolojia,nili kupunguza disapointment baada ya game
Kaanza mambo ya kukosa tenaDakika ya 6 mzize anakosa goli la wazi
TunashindaUto lolote liwakute
Muache, anakula ban sahvWapo wanaofatilia updates mkuu
Sijataja simbaMungu hatokei Simba mazeee
Asilete masikhara asee leo are kipa afe beki tunahitaji Ushindi💚💚💚alijua atapatia kama ile siku
Mtabaaa 😒😒😒😒Sijataja simba
Na hafungwi mtuu☺️💚💚💚Yanga hatuogopi kufungwa...🤣🤣