Kivumbi leoDakika ya 6 mzize anakosa goli la wazi
alijua atapatia kama ile sikuMzize πππ£
Mungu hatokei Simba mazeeeNaunga mkono hili
Hatutoboi hii game mkuu, mimi nawaandaa kisaikolojia,nili kupunguza disapointment baada ya gameπππ
Kaanza mambo ya kukosa tenaDakika ya 6 mzize anakosa goli la wazi
TunashindaUto lolote liwakute
Muache, anakula ban sahvWapo wanaofatilia updates mkuu
Sijataja simbaMungu hatokei Simba mazeee
Asilete masikhara asee leo are kipa afe beki tunahitaji Ushindiπππalijua atapatia kama ile siku
Mtabaaa ππππSijataja simba
Na hafungwi mtuuβΊοΈπππYanga hatuogopi kufungwa...π€£π€£