FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Sawa, nadhani unaona inavyowapa shida. Sasa pata picha wakichoka. Inawapa shida sana mabeki kwa sababu mbele kule hakuna wakabaji kbs
Kwamba wanachoka wao tu Nyie hamchoki [emoji1787][emoji1787]

MCA wamecheza game zote za makundi na kuwashenyenta nyie kwao uliona wamechoka [emoji23][emoji23]
 
Hapan
Kiufupi wachezaji wa Yanga hawana akili za ugungaji ,mechi kama hizi Pacome na Mwamba wa Lusaka ndio wanatakiwa waamue mechi maana ndio wenye akili
Kiufupi wachezaji wa Yanga hawana akili za ugungaji ,mechi kama hizi Pacome na Mwamba wa Lusaka ndio wanatakiwa waamue mechi maana ndio wenye akili
Hapa kwa chama labda pacome
 
Ngoja niulize Mkuu, twende kwa facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…