FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Gusa achia twende kwao imefeli ?
Hawaachiwi wajitanue. Mpira mrefu unapopigwa huoni safu ya alger ikiteteleka. Yani unakuta wamekusubiri unashindwa kupita. Ushahidi ni kwa dube na mzize wanajikuta wamezungukwa na miguu minne mbele yao.

Yanga kama itapata goli naliona likitokea katikati na sio pembeni, endapo wakiendelea na Game approach waliyo nayo kipindi cha kwanza
 
Kiufupi wachezaji wa Yanga hawana akili za ufungaji ,mechi kama hizi Pacome na Mwamba wa Lusaka ndio wanatakiwa waamue mechi maana ndio wenye akili
Hakuna mchezaji wa simba anaweza pata namba yanga mkuu😛😛😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…