FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Anawapa tu moyo kinafiki we jamaa..Yanga wameshapoteana mpaka dakika hii wamejaa kwenye mfumo wa waarabu na game inaisha Draw
Hapana bado Yanga wanakitu wanaweza kufanya kwenye hii mechi.

Hawa jamaa wanatafuta sare na hicho ndio kinachoweza kuwapa ugumu.

Ni rahisi kutafuta sare ukiwa tayari una bao la kuongoza hivyo unakuwa unampa kazi mbili mpinzani asawazishe afu aongeze.

Kwa mazingira haya ambayo MC Algeier hawafiki kwenye box la Yanga wanakuwa kwenye risk ya kufungwa kuliko Yanga ambaye anafika mara kwa mara kwenye box la Mc Alger
 
Pacome ku dribles mpira ndio njia pekee ya wap kufunga ,so watafute wachezaji wengine wenye uwezo wa kumiliki mpira.
 
Back
Top Bottom