ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Nakala Imenifikia 🤣🤣🤣
Hamna penalty paleNaona Kama vile Yanga atalazimishwa sare na hivyo kupoteza matumaini. Ila refa anawapendelea wasrabu. Mtu kanawa mpira kwenye penalty box lakini refa akamezea tu
Kulala ni sunna sheheKibwana Usiamke Lala
Kulala ni Afya😂
Mda hauendi kabisa yaani
Hapana bado Yanga wanakitu wanaweza kufanya kwenye hii mechi.Anawapa tu moyo kinafiki we jamaa..Yanga wameshapoteana mpaka dakika hii wamejaa kwenye mfumo wa waarabu na game inaisha Draw
Diarra asijamini sana na tabia ya kutoka toka goliniHahaha Kidogooo