FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

1737217118000.jpg
 
Mungu hakupenda iwe, hata hivyo tumevuna tulichopanda.
Tugange yajayo.
 
Mechi mbili za Mazembe Dsm na Al Hilal ushindi ulitokana na mambo ya nje ya uwanja na shekeli ila siyo ubora wa wachezaji wala mbinu za kocha though mlijidanganya na kujitutumua kuwa mpo vizuri na imani ya uongo kuwa mtatoboa, poleni sana msimu hamtafanikiwa kokote
 
Wacha bwanaaa,😂😂
 
Uwezo wetu ndipo ulipoishia, niliwaambia mimi hatutovuka hatua hii ya makundi walionitukana wote ni mashahidi tunachokiona hapa.

Until next time, tutarudi imara.

Yanga Daima
Uliwaaambia wapi? Weka reference....siyo kudanganya umma. Tumetolewa ni mchezo tu. Yanga ina uwezo mzuri na ni team bora Afrika.
 
Sina mengi ya kueleza kama mlivyoona na kusikìa kwa mkapa ndio hivyo tena wameshashenyetwa wenzetu..!
 
Back
Top Bottom