dah long time, mpaka nili sahau mimi ni muajiriwa.
haya boss Bantu Lady gusa tukanywe supu ππ
View attachment 3205578
Haijaisha kama story yako ya Yunge isivyoisha.Game mpaka muda huu ishaisha
wakali wa hizi kazi ,.wakali wa mashuzi?115* 2000 TSH (let say). yaan nimejikuta nimeboreka Sana japo Mimi ni Simba π¦ Ila Kama mzalendo wa hili taifa nimehuzunika.
All in all,
Sisi Simba ndio WAKALI WA HIZI KAZI
Unateseka ukiwa wapi πβΊοΈπ πwakali wa hizi kazi ,.wakali wa mashuzi?
Ψ±Ψ¨ΨΉ Ψ§ΩΩΩΨ§Ψ¦Ω ΩΩΨ³ ΩΩΨ¬Ω ΩΨΉMungu hakupenda iwe, hata hivyo tumevuna tulichopanda.
Tugange yajayo.
Wazee kesho magoli mawili tuu nijaze full tank yangu, msiniangushe tuu πππ
Niletee ile video ya yule jamaa anasema inaniuma sana yaani sana π
Hakaji.....usingizi lazma uwakate wiki nzimaHun usingizi ukalala? Maana una ka mdomo
HongeraNimefika, nilikuwa Studio π π π π π π ila ngoja narudi
Haijaisha kama story yako ya Yunge isivyoisha.Game mpaka muda huu ishaisha
yaan wanajiona wao sjui ndio kitu gani...wanamkufuru mpaka MUNGU.....kiko wapi sasa....hahahahah niko furaha sana leoSio kwamba watu , ikiwemo na mimi tunafurahia anguko la timu ya yanga. Tunafurahia anguko lenu kutokana na midomo yenu ,mnavoongea shombo+mashudu+matusi. Haya sasa kiko wapi?