FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Kuna kalukuleta inaweza kuwapeleka robo gongowazi naiuza buku tu haahaahaah
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Leo ndo ile siku ya kuwazodoa wale waliokuwa wanabeza zile hesabu zetu.

Kila la kheri Timu yangu ya Wananchi

#DaimaMbeleNyumaMwiko.

#GusaAchiaTwendeRobo
mtaniiiiiiiiiiiii hahahahahahaha shadee
 
Ndugu zangu utopolo hamjambo wote? , Hii mechi matokeo yalikuwa ngapi ngapi ? Nani katoka sikuangalia mechi
 
Ndugu zangu utopolo hamjambo wote? , Hii mechi matokeo yalikuwa ngapi ngapi ? Nani katoka sikuangalia mechi
MC Alger alipigwa mbili bila. Goli moja kafunga Azizi Ki na alithibitisha ubora wake na la pili alifunga mchezaji kinda mwenye miaka 21, Clement Mzize🙄
 
Back
Top Bottom