FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Wakubari tu walikufa kiume, kama sisi tunavyosemaga tukifika robo finali
 
Kama kawaida ya Yanga (wachovu wa kimataifa), watagusa tu uwanja wa Mkapa na kuachia mechi ikienda MC Alger. Sioni umuhimu wa watu kwenda kushangilia haibu, this is Yanga tunawajuwa kwa mechi za kimataifa.
Umetabiri vizuri.
Hakika unawajua vema utopplo
 
Ila uzuri mechi za mwisho ndo zitaamua nani anaenda robo, Uto walivoshinda na Copco walipata pwenti 3... wakishinda na Kagera watapata tatu zingine huku Mazembe na Copco wakitoa sare ya magoli yoyote yale Uto wanaenda robo 😂
 
Dakika ya 79 Chama kakosa penalty bado bila bila
Aisee wanampaje Chama penalty muhimu hivyo na Aziz Ki yupo uwanjani jamani?
Basi kocha amuingize Pacome game waimalize mapema dk 11 bado nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…