FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

Simba na Yanga zinatumika kisiasa kwa manufaa ya wanasiasa. Leo Yanga wapigwe nyingi WATOLEWE.
 
Kwa jinsi Hawa vyura walivyo na papara bila kutumia akili,na beti wanatangulizwa wao kwanza, mengine tutajua mpira unavyoendelea.
 
Ila Azam wanapapatika nini na black screen watulie waoneshe mechi
 
Baka Mungu akubariki sana, nilishashika roho!
 
Back
Top Bottom