jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 476
- 636
Nakushukuru sana shetani Kwa kuamua matokeo ya hii mechi kuwa sare.🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, basi hatuchapwi, ila tuna DRAWPunguza uchawi
Hata mimi naona hii ngoma inasoma draw mpaka mwishoNakushukuru sana shetani Kwa kuamua matokeo ya hii mechi kuwa sare.🙏
Mchawi mkubwa wewNakushukuru sana shetani Kwa kuamua matokeo ya hii mechi kuwa sare.🙏
Ni kwel, wanaweza wakaikosa hata hiyo draw ambayo ndio hapa inaonekanaYanga wawe makini. Wasijisahau. Hizi counter attacks za Waarabu zinaweza kuleta shida. Wanafukuza mwizi halafu mlango wanaacha wazi.
Ni kote Mkuu, nafikiri ni kamera za CAF hawa wamenunua rights tu.Ila Azam wanapapatika nini na black screen watulie waoneshe mechi
Hamna kitu pale tumepigwaDube ni majuto
Nidai teniiiiNani kasema weh. Hapa ni Yanga na points zake 3 zaushindi
Kazi ikiisha usinisahau na mimiLeo tupo kikazi arifu Wacha tumalize kazi kwanza 💚💚💚💚☺️
Wazee wa kakuletaKipindi Cha kwanza tupate 2 Cha pili Moja kazi iishe